Wahudumu wa afya nchini wametoa ilani ya mgomo

  • | Citizen TV
    904 views

    Serikali ya Kenya Kwanza ina kibarua kigumu kujaribu kutegea kitendawili cha wafanyikazi wa sekta tofauti za umma kudai nyongeza ya mishahara. Walimu wa shule za umma na wahudumu wa afya katika hospitali za umma wametoa ilani za mgomo wakitaka mikataba yao ya cba kuhusu mishahara kutimizwa.