31 Oct 2025 1:34 pm | Citizen TV 301 views Duration: 2:03 Wizara ya afya, shirika la Amref na serikali ya kaunti ya Kwale pamoja na World Bicycle Relief wametoa jumla ya baisikeli 500 kwa maafisa wa afya nyanjani ili kuwarahisishia kazi za utoaji wa huduma vijijini.