Wahudumu wa afya waanatishia kusitisha huduma baada ya uvamizi wa hospitali Kitengela

  • | Citizen TV
    1,263 views

    Miungano ya afya chini ya Health Union Caucus wanatishia kusitisha huduma zao kote nchini kila mara maandamano yanapotokea, wakisema maisha yao yako hatarini. Hatua hii inajiri baada ya tukio la kusikitisha katika hospitali ya Kitengela sub-county ambapo kundi la vijana walivamia hospitali hiyo kwa fujo na kuacha uharibifu mkubwa na taharuki.