Wahudumu wa afya wachanjwa katika hospitali kuu ya Kenyatta

  • | Citizen TV
    Wahudumu wa afya wachanjwa katika hospitali kuu ya Kenyatta Wakenya waanza kupewa chanjo ya corona katika hospitali ya KNH Wahudumu wa afya, walimu na walinzi wapewa kipaumbele Dozi 60,000 zasambazwa katika kaunti za kaskazini mwa bonde la ufa Chanjo ya corona yasambazwa katika kaunti mbalimbali