Wahudumu wa afya walalamikia uhaba wa vifaa vya matibabu Busia

  • | Citizen TV
    116 views

    Kwa siku ya pili hii leo, wahudumu wa afya kaunti ya Busia wanatoa huduma walizozitaja kama hafifu kwa wagonjwa wakilalamikia ukosefu wa vifaa na dawa hospitalini.