Wahudumu wa afya washambuliwa wakisafirisha vifaa vikii vya matibabu kutoka hospitali ya Nduru

  • | Citizen TV
    1,616 views

    Viongozi wa miungano ya wahudumu wa afya kaunti ya Kisii wanakashifu kushambuliwa kwa wahudumu wa afya pamoja na gari ambalo walikuwa wakitumia kubeba vifaa vikuukuu vya matibabu kutoka hospitali ya Nduru Mugirango Kusini. Iliwalazimu maafisa wa polisi kurusha vitoa macjozi kutawanya umati uliokuwa na ghadhabu. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno anazungumza na baadhi ya viongozi wa miungano hiyo na sasa anaungana nasi mubashara na mengi zaidi .