Wahudumu wa afya wasisitiza mgomo unaendelea

  • | Citizen TV
    6,094 views

    Miungano ya wahudumu wa afya inatoa taarifa kwa vyombo vya habari huku mgomo wa madaktari, maafisa wa kliniki na wataalamu w amaabara wakiwa kwenye mgomo. serikali imesisitiza kuwa haina pesa za kugharamia masuala wanayotaka wahudumu hao wa afya na kuwataka warejee kazini.