Wahudumu wa afya wasitisha mgomo wao Kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    71 views

    Wahudumu wa afya katika Kaunti ya Migori ambao wamekuwa wakishiriki mgomo kwa siku tatu zilizopita wamesitisha mgomo kwa siku 15 wakisubiri kutekelezwa kwa makubaliano kati ya muungano wa na serikali ya kaunti ya Migori