Wahudumu wa afya watishia kugoma kushinikiza nyongeza ya mshahara

  • | KBC Video
    10 views

    Muungano wa wahudumu wa afya umekariri kuwa utaandaa mgomo tarehe 14 mwezi ujao kutokana na kile wanachosema ni kutojitolea kwa serikali kushauriana wa wahudumu wa afya kuhusu nyongeza ya mshahara. Kupitia waakilishi wao, wahudumu hao wa afya wanadai kuwa hata baada ya kuipa serikali muda wa kutosha kushughulikia masuala yanayofungamana na mkataba wa nyongeza ya mshahara, hakuna hatua iliyopigwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #healthworkers