Wahudumu wa afya watoa ilani ya mgomo Taita Taveta

  • | Citizen TV
    98 views

    Viongozi wa vyama vya Wahudumu wa afya katika kaunti ya Taita Taveta wametishia kufanya mgomo tarehe 4 mwezi septemba mwaka huu iwapo serikali ya kaunti hiyo haitawalipa mishahara yao kikamilifu.