Wahudumu wa afya ya jamii kuanza kupokea marupurupu

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imetoa shilingi bilioni 3 zitakazotumika kulipa marupurupu ya zaidi ya wahudumu laki-1 wa afya ya jamii humu nchini. Naibu Rais Rigathi Gachagua alipuuzilia mbali madai kuwa serikali haijafaulu kutekeleza ahadi yake ya kuimarisha huduma za afya humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive