Wahudumu wa boda boda kaunti ya Kilifi waomba serikali kusaidia kuboresha vyama vya ushirika

  • | Citizen TV
    160 views

    Wahudumu wa sekta ya bodaboda eneo la Sabaki kaunti ya Kilifi wamewarai Viongozi humu nchini kusaidia Katika kuboresha vyama vya ushirika vya sekta ya boda boda