Wahudumu wa boda boda wazozania stendi na madereva wa tuktuk eneo la Thika

  • | Citizen TV
    274 views

    Mzozo umeibuka kati ya wahudumu wa tuktuk na wale wa bodaboda katika mji wa thika, kaunti ya Kiambu kuhusu stendi.