Wahudumu wa bodaboda Mlolongo,wamewakashifu baadhi ya wanasiasa kwa madai kuwa wanafadhili wahalifu

  • | Citizen TV
    4,639 views

    Waendeshaji bodaboda kutoka maeneo ya Mlolongo kaunti ya Machakos, wamewakashifu baadhi ya wanasiasa kwa madai kuwa wanafadhili wahalifu waliochoma pikipiki zao siku ya jumanne wakati wa maandamano.