Wahudumu wa Bodaboda walaumiwa kwa ongezeko la mimba za mapema

  • | West TV
    69 views
    Imebainika wazi kwamba wahudumu wa bodaboda na vijana ndio wamekuwa wakiwapachika wasichana wadogo mimba katika kaunti ya Bungoma huku wito wa uhamasisho ukitakiwa kutolewa kwa washikadau kushirikiana ili kupunguza momba za mapema