Wahudumu wa bodaboda wametakiwa kujihusisha na kilimo cha miwa

  • | West TV
    71 views
    Wahudumu wa bodaboda wametakiwa kujihusisha na kilimo hasa cha miwa baada ya kuimarika kwa bei ili waimarishe mapato yao mbali na kuendeleza kazi yao katika sekta ya boda boda