Wahudumu wa bodaboda za umeme kaunti za Mombasa na Kilifi walalamikia huduma duni

  • | Citizen TV
    846 views

    Wahudumu wa Bodaboda za umeme kaunti za Mombasa na kilifi wanataka matwaka waliyowasilisha kwa kampuni inayotengeneza pikipiki hizo pamoja na asasi za serikali kushughulikiwa. Kupitia Mwenyekiti wao Samuel Ogutu wanadai wanaboboda wanaendelea kupata hasara kutokana na baadhi ya maamuzi yalioafikiwa