Wahudumu wa hospitali ya Mama Lucy watoa malalamishi

  • | K24 Video
    69 views

    Wiki moja baada ya mama mmoja kuaga alipokuwa akijifungua katika hospitali ya mama Lucy Kibaki, na lawama kulimbikiziwa wahudumu wa afya waliokuwa wakimshughulikia, wahudumu hao sasa wamenyooshea kidole cha lawama uongozi, na kudai kuwa kutokuwepo kwa miundomsingi hutatiza pakubwa kazi zao za kila siku.