Wahudumu wa magari ya uchukuzi wateta kuhusu maegesho eneo la Mwembe Tayari

  • | Citizen TV
    290 views

    Wahudumu wa magari ya uchukuzi katika eneo la Mwembe Tayari kaunti ya Mombasa wamepinga hatua ya serikali ya kaunti kupiga marufuku kurejeshwa kwa magari ya usafiri katika barabara ya Kenyatta.