- 377 viewsTukielekea kaunti Bomet shughuli za usafiri zilitatizwa na mgomo wa wahudumu wa magari ambapo baadhi ya madereva walichoma magurudumu huku wakiegesha magari yao ishara kwamba wamekerwa na kupanda kwa bei ya mafuta. Baadhi ya wafanyabiashara vilevile wamesema wamepata idadi ndogo ya wateja tangu wakati wa asubuhi...