Wahudumu wa matatu walalamikia barabara mbovu kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    395 views

    Wahudumu wa matatu kaunti ya Mombasa wamelalamikia barabara mbovu ya Mombasa kuelekea Malindi hasa katika maeneo ya leisure Bombululu na Kisimani. Kulingana na madereva Hatua hiyo umechangia kwa msongamano wa magari unaoshuhudiwa.