17 Mar 2026 1:20 pm | Citizen TV 187 views Duration: 1:46 Wahudumu wa matatu wanaotumia barabara ya Kutoka migori kuelekea Sori wameelekeza kidole Cha lawama Kwa maafisa WA GSU ambao wanaendelea kushika doria katika eneo la Macalder wakisema wanawanyanyasa.