Wahudumu wa matatu watakiwa kuweka sajili ya abiria wanaowasafirisha

  • | Citizen TV
    Wahudumu wa matatu katika kaunti ya Nyeri wanatakiwa kuanza kuweka sajili ya majina na namba za simu za abiria wao kama njia moja ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona. Wasafiri kutoka Nairobi pia wanaendelea kuhimizwa kutosafiri ili kutoeneza virusi hivyo.