Wahuni wavamia hospitali ya War Memorial hii kuwatishia na kuwaondoa wafanyikazi wa hospitali hiyo

  • | K24 Video
    156 views

    Wahuni wamevamia hospitali ya War Memorial hii leo kuwatishia na kuwaondoa wafanyikazi wa hospitali hiyo dakika chache tu baada ya kamanda wa polisi Samwel Ndanyi kutekeleza amri ya mahakama iliyomtaka kuhakikisha wafanyikazi wa hospitali hiyo wamekubaliwa kurudi kazini. Mkuu wa hospitali hii Patricia Njeri amesema juhudi za kupata usaidizi kutoka kwa maafisa wa polisi zimeambulia patupu.