Wahuni wavuruga mkutano Kisii

  • | KBC Video
    78 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya Etago eneo la Mugirango, kaunti ya Kisii wamewatia nguvuni washukiwa wawili wanaodaiwa kuvuruga hafla ya kutoa msaada wa viti vya magurudumu kwa watu walio na ulemavui iliyoandaliwa na mwakilishi wanawake bungeni wa kaunti hiyo, Dorice Aburi.Inadaiwa washukiwa hao walivamia mahali ambapo hafla hiyo ilikuwa inaendelea wakiwa wamejihami ambapo waliwashambulia baadhi ya washiriki. Polisi wanachunguza kiini cha uvamizi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive