Skip to main content
Skip to main content

Waigizaji waitaka Serikali na jamii kukuza sanaa hiyo

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 3:03
    Waigizaji katika kaunti ya Busia wameihimiza Serikali na jamii kuwasaidia kukuza sanaa hiyo, ili kubuni nafasi za ajira. Wito huu ulitolewa kwenye hafla ya kuwafanyia majaribio wasanii wa uigizaji wa filamu kutoka maeneo mbalimbali ya kaunti za magharibi