Wairan wanaopoteza masiaha kwa sumu ya pombe na usiri

  • | BBC Swahili
    544 views
    Wimbi jipya la unywaji wa pombe yenye sumu nchini Iran linaua watu ambao wanaogopa sana adhabu badala ya kutafuta msaada wa haraka wa matibabu. Pombe imepigwa marufuku katika nchi hiyo ya Kiislamu (isipokuwa kwa baadhi ya dini ndogo), na watu wanaopatikana wakinywa pombe wanaweza kupata adhabu ya viboko 80, kifungo au hata kifo kwa wakosaji wa kurudia. #bbcswahili #iran #sheria