Waislam Afrika Mashariki Wajiandaa kwa sikukuu na sherehe za Eid el Fitri

  • | VOA Swahili
    178 views
    Waislam wajiandaa kwa sherehe za sikikuu ya Idd el Fitr Afrika Mashariki. Ungana na mwandishi wetu wa Nairobi Zeinab Saidi akizungumza na mchoraji Henna na mteja wake kuhusu utamaduni wa kupakaa Henna katiika sikukuu za Kiislam. Zuhura Ibrahim ambaye anaendesha biashara ya kuchora henna anaeleza jinsi shughuli yake ilivyokuwa inahitaji ubunifu na ustadi kuweza kuwaridhisha wateja. Pia anasema biashara imedorora kwa kiasi fulani. Endelea kusikiliza... #waislam #sherehe #sikukuu #iddelfitr #afrikamashariki #henna #uchoraji #biashara #zuhuraibrahim