Waislam na Wakristo wahamasisha amani, umoja na ustahmilivu

  • | VOA Swahili
    40 views
    Juhudi zinazofanywa na kundi la Vijana nchini Burkina Faso wanahmasisha amani, umoja na ustahmilivu kati ya waislamu na wakristo wakati wa kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan na Pasaka. Lamina Traore anaripoti kutoka Ouagadougou. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili. #burkinafaso #ramadhani #sheikh #waislam #wakristo #ramadhan #pasaka #mtumemuhammad #voa #voaswahili #saumu #futari #Waislam #adhan #italia #ukombozi #vita #mwandishi