Waislam, Wakristo na Wayahudi Wakutana Kuftari Mwezi wa Ramadhani

  • | VOA Swahili
    237 views
    Dhifa iliyoandaliwa kujenga umoja kati ya dini ya Kiyahudi, Uislam na Ukristo katika Jimbo la aryland, Marekani inaelezwa na waandaaji kuwa iftari ya mwaka huu ilihudhuriwa na Waislam wachache zaidi kutokana na maoni yanayotofautiana kuhusu vita kati ya Israel na Hamas huko Gaza. Hata hivyo wadau waliohutubia katika hafla hiyo wamesisitiza umuhimu wa kukuza uhusiano kati ya imani mbalimbali nchini Marekani. Endelea kusikiliza… #wayahudi #wakristo #waislam #hekalu #marekani #gaza #israel #hamas