Waislamu duniani washerehekea sikukuu ya Eid - Ul - Adha

  • | Citizen TV
    730 views

    Waislamu nchini na kote duniani wameadhimisha sikukuu ya Eid-Ul Adha, kilele chake kikiwa kuchinja na kushiriki maankuli na wasiojiweza katika jamii