Skip to main content
Skip to main content

Waislamu waadhimisha sikukuu ya Eid ul-Fitir

  • | Citizen TV
    1,718 views
    Duration: 4:38
    Waumini wa dini ya kiislamu kote nchini wameungana na wenzao ulimwenguni kusheherekea sikukuu ya Eid-ul Fitr kuashiria kukamilika kwa mwezi mtukufu wa ramadhan. Viongozi wa kidini na kisiasa wametaka wakenya kuadhimisha sikukuu ya eid ul fitr wakiwa na ujumbe wa amani, kushirikiana na kuenzi mafunzo ya imani