Skip to main content
Skip to main content

Waislamu waanza kufunga Ramadhan Kenya, viongozi wahimiza kusaidia maskini na kuimarisha usalama

  • | Citizen TV
    1,440 views
    Duration: 2:58
    Baadhi ya waislamu nchini na ulimwenguni wameanza kufunga mwezi mtukufu wa ramadhan, kwenye ibada inayowazuia kula na kunywa kwa muda wa mwezi mmoja. Viongozi wa kidini pamoja na wasilamu wamewataka wakenya kutumia mwezi huu kuwakumbuka wasiojiweza hasa wanaokabiliwa na makali ya njaa nchini. Katika kaunti ya Mombasa, waisilamu wametaka usalama kuimarishwa hasa nyakati za swala za usiku