Waislamu wameraiwa kuwekeza kwenye sekta za bima na fedha

  • | Citizen TV
    339 views

    Jamii ya waislamu imeraiwa kuwekeza kwenye sekta za bima na fedha ili kujikuza kiuchumi. Kwenye mkutano wa 11 wa jumuiya ya waislamu barani afrika huko hargeisa, somaliland, wawakilishi 15 kutoka mataifa tofauti walizungumzia njia halali za kutumia teknolojia kutoa bima na bondi zinazozingatia mfumo wa sharia au sukuk