Waisraeli waandamana kutaka vita kuisha Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,564 views
    Polisi mjini Tel Aviv, Israel wamekabiliana na waandamanaji katika maandamano yaliyotajwa kama siku ya kukatiza shughuli za kawaida nchini humo. Maandamano yanafanyika nchini kote ili kuunga mkono familia za mateka wanaoshikiliwa na kundi la Hamas. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw