Waja wazito watakiwa kuhudhuria kliniki

  • | Citizen TV
    148 views

    Huku ulimwengu unapojiandaa kuadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya miezi tisa kutimia Juma lijalo, wahudumu wa afya wametoa himizo kwa kina mama waja wazito kuzingatia kuhudhuria kliniki pamoja na kuishi katika mazingira bora ili kuzuia visa hivyo.