Wajane Tharaka Nithi wanalalamikia ongezeko la dhuluma za kijinsia

  • | Citizen TV
    131 views

    Wajane kutoka Nkondi, kaunti ya Tharaka Nithi wanalalamikia dhuluma wanazopitia waume wao wanapofariki na haswa kufurushwa kutoka kwao. Wajane hao wamesalia kuishi maisha ya tabu kwani wengi hawana makao na sasa wanairai serikali na viongozi kuingilia kati kuhakikisha haki zao za urithi hazihujumiwi na wanafamilia.