Wajane wamesimulia masaibu yanayowatatiza maishani

  • | Citizen TV
    147 views

    Mke Wa Rais, Rachael Ruto ameongoza viongozi mbalimbali nchini kupanga mikakati ya kukabiliana na dhulma zinazozidi kukandamiza wajane katika jamii.