Wajarisiriamali wa jua kali kaunti ya Garissa wahimizwa kushiriki ujenzi

  • | Citizen TV
    84 views

    Wajarisiriamali wa sekta ya jua kali katika kaunti ya Garissa wamehimizwa kujitokeza na vyeti vyao vya usajili ili kunufaika na nafasi za kazi katika mradi wa serikali wa nyumba za bei nafuu