Wajasiriamali Mombasa wauza pikipiki mpya rafiki kwa mazingira

  • | VOA Swahili
    313 views
    Vijana wajasiriamali waleta mapinduzi makubwa katika soko la bajaji mjini Mombasa, Kenya ambapo wanauza bajaji mpya zinazotumia umeme zinazogharimu takriban dola 4,000. Mjasiriamali anaeleza kuwa TukTuk hizi mbali na kupunguza gharama ya mafuta kwa vijana wanaozinunua pia zitaleta mabadiliko makubwa katika kulinda mazingira na ni Rafiki kwa mazingira. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.