Wajasiriamali nchini wasaidia waathiriwa wa dhulma ya kijinsia suluhu za mageuzi bunifu

  • | NTV Video
    83 views

    Ulimwengu ukiendelea kaudhimisha siku 16 za dhulma za kijinsia, wajasiriamali nchini wanapiga hatua ya kusaidia waathiriwa wa hali hii na kuwapa suluhu za mageuzi bunifu. wakizunguza katika hafla iliyopangwa na shirika la ushirikiano wa kimataifa la japan (jica), washikadau mbalimbali walisema kuwa wanalenga waathiriwa zaidi ya 100.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya