Wajenzi wa jumba lililoporomoka eneo la Membly, kaunti ya Kiambu kuchukuliwa hatua

  • | KBC Video
    Wajenzi wa jumba lililoporomoka katika eneo la Membly,kaunti ya Kiambu watachukuliwa hatua wakipatikana na hatia ya kukiuka kanuni za taaluma ya ujenzi .Kamati inayoongozwa na maafisa kutoka halmashauri ya ujenzi ,inatarajiwa kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti katika muda wa wiki mbili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #RuiruCollapsedBuilding