Wajir yakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu kutokana na mashambulizi ya al-Shabaab

  • | VOA Swahili
    109 views
    Mwalimu katika kaunti ya Wajir, nchini Kenya ajitolea kufundisha baada ya walimu wengi kuondoka kwa sababu ya mashambulizi ya hivi karibuni katika eneo hili. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ya walimu katika eneo hili ambalo lilishambuliwa na wapiganaji wa al-Shabaab. Endelea kusikiliza #mwalimu #wajir #kaunti #alshabaab #kikundi #ugaidi #voa #voaswahili #dunianileo #usalama - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    shabaab