Wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wameanza kuwasili Dubai kwa kongamano la COP28

  • | Citizen TV
    213 views

    Wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wameanza kuwasili jijini Dubai kwa kongamano kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambalo linatarajiwa kung'oa nanga hapo kesho.