Wajumbe wa kiwanda cha EPZ wazuru kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    Wajumbe kutoka kiwanda cha usafirishaji Mizigo (EPZA) wakiongozwa na Mkurungezi mkuu Henry Obino walizuru kaunti ya Taita taveta. waliafikiana na serikali ya kaunti hiyo kuwa watajenga kiwanda hicho kw manufaa ya wakazi na uchumi wa kaunti.