Wajumbe wamewasili kwa kongamano Homa Bay

  • | Citizen TV
    65 views

    Wadau mbali mbali wamekusanyika katika kaunti ya Homa Bay, huku kauli mbiu ikiwa kwa serikali kuimarisha miundombinu ya kuimarisha biashara na kutoa ajira haswa kwa vijana