Wakaazi 1000 wa kijiji cha Mlambenyi, eneo bunge la Mwatate wahofia usalama wao

  • | Citizen TV
    204 views

    Wakaazi 1000 wa kijiji cha Mlambenyi mtaa wa mto wa Mwagodi eneo bunge la Mwatate wanahofia usalama wao baada ya kuvamiwa na kubomolewa nyumba zao wiki iliyopita kutokana na wanachokitaja kuwa uhasama wa mipaka kati ya jamii za Sagala na Rong'e