Wakaazi Ahero wameendelea kuhangaishwa na maji

  • | Citizen TV
    440 views

    Serikali imetoa ilani kwa zaidi ya wakaazi 200 wanaoishi katika maeneo yanayoshuhudia mafuriko ya mara kwa mara kuhamia maeneo salama huku mafuriko yakiendelea kuwahangaisha wakaazi wa Ahero kaunti ya Kisumu. Makumi ya wakaazi wa kijiji cha Kapuothe, Kisumu ya kati wakiwachwa bila makao kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo hilo. Na kama Maryanne Nyambura anavyoarifu, wakaazi hawa wanalalamikia kupuuzwa na serikali