Wakaazi katika kaunti ya Busia wageuka kuwa wafugaji wa kuku

  • | Citizen TV
    285 views

    Kila unapotembea katika eneobunge la Matayos, kaunti ya Busia wakaazi wengi wamegeuka kuwa wafugaji wa kuku. Mradi huu wa kuku wa kukomaa haraka umesifiwa na wakaazi wengi kuongeza mapato yao ikilinganishwa na wale wa kienyeji.