Wakaazi katika kaunti ya Kajiado wahamasishwa kuhusu kuhifadhi maji ya mvua

  • | Citizen TV
    127 views

    Huku uhaba wa maji ukiendelea kushuudiwa katika kaunti ya Kajiado, Wizara ya Maji kaunti hiyo imewataka wakaazi kuanza kuweka mikakati ya kuhifadhi maji. Waziri wa maji Leina Mpoke anasema kuwa maafisa wanasema hii ndio njia ya kusaidia kudhibiti athari za kiangazi.